Jumapili, 21 Januari 2018

MSIMAMO: Baada ya mechi tatu za leo, Azam FC imepanda kileleni na kuishusha Simba, huku Ruvu Shooting ikibaki mkiani rasmi na Yanga ikisogea hadi nafasi ya tatu katika msimamo wa #VPL Raundi ya 14 inakamilishwa kesho kwa mechi mbili

No automatic alt text available.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni