Jumanne, 2 Januari 2018

#MapinduziCup2018 Kumekucha katika dimba la Amaan Zanzibar, dakika ya pili, Jamal Mwambeleko ambaye leo anacheza kama winga ya kushoto, anaipa Simba bao la kuongoza. Dakika ya 5: Simba 1-0 Mwenge

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni