Alhamisi, 7 Juni 2018

Wimbo uliomfanya ‘Sam wa Ukweli’ ‘afie studio’ WALIMWENGU

Msanii wa Bongo Fleva, Salum Mohamed maarufu ‘Sam wa Ukweli’ amefariki dunia usiku wa kuamkia leo June 7, 2018  katika hospitali ya Palestina, Sinza baada ya kuugua.
Huu hapa ni wimbo ambao ulimfanya alale studio siku nne akiusubiri umalizike mpaka alipozidiwa na umauti kumkuta unaitwa ‘Walimwengu’>>> Bonyeza PLAY hapa chini kuutazama.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni