Alhamisi, 7 Juni 2018

“KKKT na kanisa katoliki msiwajibu Serikali muone watafanya nini” –Mbatia

June 7, 2018 Kambi rasmi ya upinzani Bungeni ikiongozwa na Mbunge wa Vunjo James Mbatia imeyashauri makanisa ya Kiinjili la kilutheri Tanzania (KKKT) pamoja na baraza la maaskofu kutokujibu barua waliyopewa na Serikali kuwataka waombe radhi waumini wao kufuatia waraka walioutoa katika kipindi cha Pasaka mwaka huu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni