Nchini
Tanzania nako maadhimisho ya siku ya mazingira duniani yamefanyika
kitaifa jijini Dar es salaam ambako Umoja wa Mataifa, serikali na wadau
wameazimia kuendelea kushirikiana ili kudhibiti uharibifu wa mazingira.
Naye Waziri anayehusika na mazingira, January Makamba akasema..
(Sauti ya January Makamba)
Na ndipo mratibu mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Tanzania Alvaro Rodriguez akafunguka.
(Sauti ya Alvaro Rodriguez)
TAGS: Tanzania, mazingira, misitu, Alvaro Rodriguez, Samia Suluhu Hassan, January Makamba
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni