Jumapili, 10 Juni 2018

SHABIKI ALIAMSHA DUDE MKUTANO WA YANGA,POLISI WAMBANANISHA










IMG_20180610_113858_402

 Mwanachama maarufu wa Yanga kwa jina la JITU, aliyekuwa miongoni mwa wanachama wa Yanga waliokwenda mahakamani kupinga mkutano huu, akitolewa ukumbini kwa msaada wa Polisi baada ya wanachama kumgeukia wakitaka atolewe.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni