Jumapili, 10 Juni 2018

Klabu ya Yanga SC leo inafanya mkutano wake mkuu wa mwaka

Image may contain: 6 people, people standingTayari viongozi mbalimbali wa klabu akiwemo Katibu Mkuu Charles Mkwasa wameshafika katika Bwalo la Maafisa wa Jeshi la Polisi, Oysterbay. Mgeni rasmi ni Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe.








Image may contain: 2 people, people standing and beard

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni