
Mshambuliaji wa Ureno, Cristiano Ronaldo akibinuka tik tak katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Algeria usiku wa jana Uwanja wa Luz mjini Lisbon kujiandaa na Kombe la Dunia. Ureno ilishinda 3-0, mabao ya Goncalo Guedes mawili dakika ya 17 na 55 na Bruno Fernandes dakika ya 37 kwa pasi ya Cristiano Ronaldo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni