Ijumaa, 8 Juni 2018

RASHFORD AFUNGA BAO TAMU ENGLAND YAICHAPA COSTA RICA 2-0



 




Phil Jones (juu) na Nahodha Jordan Henderson (kulia) akimpongeza mchezaji mwenzao, Marcus Rashford baada ya kuifungia England bao zuri la kwanza dakika ya 13 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya  Costa Rica jana Uwanja wa Elland Road mjini Leeds, West Yorkshire kujiandaa na Kombe la Dunia. Bao la pili lilifungwa na Danny Welbeck dakika ya 76

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni