Ijumaa, 1 Juni 2018

KUELEKEA FAINALI YA #ASFC - MTIBWA SUGAR WATEMBELEAwagonjwa katika wodi ya wazazi kwenye Hospitali ya Levolosi, Arusha.



Viongozi, benchi la ufundi pamoja na wachezaji wa Mtibwa Sugar, asubuhi ya leo wametembelea Wodi ya wazazi katika Hospitali ya Jiji la Arusha, Levolosi na kuwajulia hali wagonjwa na akina mama waliojifungua.
#AsfcFinal2018 #ArushaImekubali

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni