Ijumaa, 1 Juni 2018

Fahamu zaidi sababu ya wamiliki wa Mbwa kufanana na Mbwa wao

Leo June 1, 2018 nakusogezea Utafiti uliofanywa na mwanasayansi Sadahiko Nakajima kutoka Chuo Kikuu cha Japan na kuchapishwa na jarida la ANTHROZOOS umebaini kuwa wamiliki wa Mbwa wanafanana na mbwa wao kwa kiasi kikubwa.
Sababu iliyotajwa kupelekea mfanano huo ni kuwa wamiliki wa Mbwa hupenda kuchagua Mbwa wanaoendana nao kitu kinachopelekea kuwepo kwa mfanano huo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni