Ijumaa, 1 Juni 2018

Tanzia: Mbunge Bashe afiwa na Mama yake Mzazi


Mama mzazi wa Mbunge wa Jimbo la Nzega Mjini mkoani Tabora (CCM), Hussein Bashe amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Ijumaa, katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, Muhumbili jijini Dar es Salaam alipokuwa akitibiwa.

Kupitia akaunti yake ya Twitter, Bashe amesema;


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni