Alhamisi, 7 Juni 2018

droo ya upangaji wa makundi ya timu 16 zitakazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara kwa Vijana wenye umri chini ya miaka 20.kufanyika leo

  

Ligi hiyo itaanza rasmi JUni 9, mwaka huu mjini Dodoma na Azam TV itakuletea mechi zote za ligi hiyo.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni