Jumanne, 5 Juni 2018

Amber Lulu atoboa siri nzito ya Wema na Aslay


Msanii wa Bongo Fleva na muuza nyago kwenye video za wasanii, Amber Lulu, ametoboa siri ya Malkia wa filamu Bongo, Wema Sepetu na Mbongo Fleva, Aslay akidai kuwa waliwahi kuishi pamoja kinyumba kama mke na mume.

Amber Lulu ambaye naye aliwahi kunasa mapenzini mwa Aslay na kudai kuwa ni fundi mzuri sana kunako mausuala ya sita kwa sita huku pia akitumia sifa hiyo kumtofautisha na Mbongo Fleva mwingini, Young D ambaye nae pia alikuwa mpenzi wake lakini hakuwa fundi sana kama ilivyo kwa Aslay.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni