Mafundi wa Kampuni ya Mandela wakiwa kwenye maandalizi ya mwisho ya utengenezaji wa jeneza litakalotumika kuwazikia mapacha walioungana Maria na Consolata katika eneo la Sido Manispaa ya Iringa.
Mazishi ya mapacha hao yanatarajjwa kufanyika Jumatano hii kwenye makaburi ya Masista Tosamaganga mkoani Iringa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni