mwana wa liganga blog ni blog ya kutoa taarifa, matukio, yaliyotokea katika ulimwengu hususani katika nchi yaTanzania
blog hii inasimamiwa na mwandishi wa habari kitaaluma bwana Deus Thomas liganga.lengo ni kutoa taarifa kwa umma,kwa maendeleo ya taifa na Dunia kwa ujumla
kwa mawasiliano kuhusu mtangazo, habari, wasiliana nasi 0659944423,deusliganga@yahoo.com,mzeeliganga@gmail.com
Jumamosi, 26 Mei 2018
VIONGOZI WANAPOKUTANA:
Viongozi wa nafasi za juu wa Jumuia za CCM walipotembelea na kufanya mazungumzo Rais John Magufuli.
Mbali na viongozi hao pia aliyekuwa Rais wa awamu ya tatu, Benjamin
Mkapa naye alimtembelea Rais Magufuli Ikulu, jijini Dar es Salaam.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni