Ijumaa, 25 Mei 2018

Samsung kuilipa fidia kampuni ya Apple dola 533 millioni (sawa na Sh1.2 trilioni)

No automatic alt text available.

 Mahakama nchini Marekani imeiamuru kampuni ya Samsung kuilipa fidia kampuni ya Apple dola 533 millioni (sawa na Sh1.2 trilioni) baada ya Samsung kukutwa na hatia ya 'kukopi' kazi za ubunifu za Apple. Kesi hiyo ilifunguliwa miaka saba iliyopita.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni