Donald Trump

Jana Mei 23, 208 Waziri wa Mambo ya Nje wa Korea Kaskazini, Choe Son-hui alimtukana Makamu wa Rais wa Korea Kaskazini kwa kumuita Mjinga na Mpumbavu kitu ambacho kimezua gumzo katika ulimwengu wa kisiasa na Diplomasia.
Soma zaidi – Kiongozi mkubwa Korea Kaskazini amtukana Makamu wa Rais wa MarekaniRais wa Marekani, Donald Trump siku ya Jumanne ya wiki hii alisema kuwa Korea Kaskazini ndiyo ingetimiza masharti ya kufanyika kwa mazungumzo hayo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni