Jumatano, 23 Mei 2018

Mshindi wa Ballon d'Or mwaka 1999, Rivaldo amshauri Neymar Jr


Mshindi wa Ballon d'Or mwaka 1999, Rivaldo amemshauri mshambuliaji, Neymar Jr kujiunga na Real Madrid au ligi ya England ili aongeze uwezekano wa kupata nafasi ya kutwaa Ballon d' Or - tuzo ya mchezaji bora wa dunia.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni