Jumanne, 13 Machi 2018

#VPL Baada ya mchezo mmoja uliopigwa leo na kumalizika kwa ushindi wa bao 1-0 Kagera Sugar ikiichapa Mwadui FC, msimamo unaonesha Kagera kupanda kutoka nafasi ya 14 hadi nafasi ya 12

No automatic alt text available.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni