mwana wa liganga blog ni blog ya kutoa taarifa, matukio, yaliyotokea katika ulimwengu hususani katika nchi yaTanzania
blog hii inasimamiwa na mwandishi wa habari kitaaluma bwana Deus Thomas liganga.lengo ni kutoa taarifa kwa umma,kwa maendeleo ya taifa na Dunia kwa ujumla
kwa mawasiliano kuhusu mtangazo, habari, wasiliana nasi 0659944423,deusliganga@yahoo.com,mzeeliganga@gmail.com
Jumatatu, 5 Machi 2018
Mbowe aruhusiwa kutoka hospitali
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aliyekuwa amelazwa katika Hospitali
ya Rufaa KCMC akisumbuliwa na maumivu makali ya kichwa, ameruhusiwa.
Ofisa Habari wa KCMC, Gabriel Chisseo amesema leo Jumatatu Februari 5,
2018 kuwa Mbowe ameruhusiwa baada ya madaktari kuridhishwa na afya yake
iliyorejea katika hali ya kawaida.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni