Jumapili, 18 Februari 2018

YANGA WALIVYOWAFUATA SAINT LOUIS , MECHI NI JUMATANO

YANGA WALIVYOWAFUATA SAINT LOUIS LEO, MECHI NI JUMATANO

Wachezaji wa Yanga wakiwa kwenye ndege leo wakati wa safari ya kwenda mjini Victoria nchini Shelisheli kwa ajili ya mchezo wa marudiano na wenyeji, Saint Louis Suns United hatua ya awali Ligi ya Mabingwa Afrika Jumatano mjini humo 
Hapa ni Uwanja wa Ndege wa Nairobi wakiunganisha ndege kwa safari yao

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni