Ngumi ya George Groves ikiwa imewasili kwenye uso wa mpinzani wake, Chris Eubank Jr wakati wa pambano la fainali ya World Boxing Super Series usiku wa kuamkia leo ukumbi wa Manchester Arena. Groves
alishinda kwa uamuzi wa majaji wote, pointi 117-112, 116-112 na 115-113
na kutetea ubingwa wake wa dunia wa WBA baada ya raundi 12 kali PICHA ZAIDI GONGA HAPA

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni