Jumatatu, 12 Februari 2018

#VPL Zimebaki mechi mbili pekee kukamilisha raundi ya 18 ya ligi ambayo kutawaliwa na sare huku ikiwa na ukame wa mabao ambapo hadi sasa ni mabao mabao saba pekee ndiyo yaliyofungwa. Mechi zilizosalia ni: Mwadui FC vs Simba SC, Yanga SC vs Majimaji FC.

No automatic alt text available.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni