Jumatatu, 12 Februari 2018

MSIMAMO: Baada ya mechi ya leo iliyomalizika kwa sare ya bao 1-1 kati ya Kagera Sugar na Azam FC, msimamo wa #VPL unaonesha Kagera Sugar ikijinasua kutoka mkiani na kupanda kwa nafasi moja juu, huku Azam FC ikiendelea kubaki nafasi ya tatu licha ya kulingana pointi na Yanga.

No automatic alt text available.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni