Ikiwa leo February 24, 2018 Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amehukumiwa kifungo cha miezi mitano jela, wasanii mbali mbali wameonyeshwa kuguswa na hilo lilomfika Sugu.
Wasanii wao wameguswa kutokana Sugu ni miongoni mwa wasanii wa mwanzo waliyoipa heshima kubwa Bongo Flava na kuifanya kukubalika zaidi. Nikki wa Pili, Izzo Bizness, Kala Jeremiah, Nay wa Mitego na Rama Dee watumia mitandao ya kijamii kuandika haya;
- nikkwapiliNguvu ya Mungu ikapate kuwa nawe pamoja na familia yako, gerezani sio kaburini stay strong Jongwe
- izzo_biznesssStay strong Big Brother JONGWE.
- kalajeremiahsTAY STRONG JONGWE
- naytrueboytzStay Strong Brother Sugu
-
legendeeofficialNasikitika sana kwa hii habari kama Msanii pia kama Rafiki Wa Sugu,hii si picha nzuri! - professorjaytz#This Too Shall Pass Mungu Sio KIZIWI wala Sio KIPOFU..
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni