mwana wa liganga blog ni blog ya kutoa taarifa, matukio, yaliyotokea katika ulimwengu hususani katika nchi yaTanzania
blog hii inasimamiwa na mwandishi wa habari kitaaluma bwana Deus Thomas liganga.lengo ni kutoa taarifa kwa umma,kwa maendeleo ya taifa na Dunia kwa ujumla
kwa mawasiliano kuhusu mtangazo, habari, wasiliana nasi 0659944423,deusliganga@yahoo.com,mzeeliganga@gmail.com
Jumatatu, 5 Februari 2018
Majeruhi Yanga SC sasa wafikia 11
Tatizo la majeruhi ndani ya klabu ya Yanga yazidi kuongezeka baada ya
sasa kufikia 11 hali ambayo inatishia harakati za kuwania ubingwa wa
ligi kuu soka Tanzania Bara msimu huu.
Kwa mujibu wa taarifa ya daktari wa timu hiyio Edward Bavu amekiri kufikia 11 mpaka sasa.
Wachezaji wetu 11 bado ni majeruhi, ni wazi hawatakuwa sehemu ya mchezo wa kesho- Dr Bavu.
@yangasc VS @njombemjifcofficial
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni