Jumatatu, 5 Februari 2018

PICHA Rais Magufuli, Kikwete, na Lowassa katika mazishi ya Mzee Kingunge

Leo February 5, 2018 Mwili wa Mwanasiasa Mkongwe nchini Mzee Kingunge Ngombale Mwiru umezikwa katika makaburi ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam muda huu nimekusogezea Picha kutoka eneo la tukio shuka chini kuweza kutazama.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni