Jumatano, 14 Februari 2018

IBADA YA JUMATANO YA MAJIVU




Rais John Magufuli aliposhiriki Ibada ya majivu katika Kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es Salaam.
Katika Ibada hiyo Rais Magufuli aliambatana na mkewe Janeth na kujumuika na waumini wengine.
Rais Magufuli baada ya Ibada hiyo alipata wasaa wa kusalimiana na waumini mbalimbali pamoja na Mwadhama Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam na Padri Venance Tegete.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni