Nyota
wawili wanaotikisa katika soka la dunia, Lionel Messi (Barcelona) na
Cristiano Ronaldo (Real Madrid) bado wanafukuzana katika upachikaji wa
mabao huku Messi akimzidi Ronaldo mabao manne.
Hadi sasa Messi ana mabao 27 wakati Ronaldo akiwa na mabao 23 katika mashindano yote tangu kuanza kwa msimu huu wa 2017/18.
Je, kwa uonavyo wewe, Ronaldo anaweza kumfikia Messi?

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni