mwana wa liganga blog ni blog ya kutoa taarifa, matukio, yaliyotokea katika ulimwengu hususani katika nchi yaTanzania
blog hii inasimamiwa na mwandishi wa habari kitaaluma bwana Deus Thomas liganga.lengo ni kutoa taarifa kwa umma,kwa maendeleo ya taifa na Dunia kwa ujumla
kwa mawasiliano kuhusu mtangazo, habari, wasiliana nasi 0659944423,deusliganga@yahoo.com,mzeeliganga@gmail.com
Jumatano, 14 Februari 2018
DR Congo: Wanajeshi watano wafariki katika msafara wa rais
Wanajeshi watano wafariki katika ajali iliotokea katika msafara wa rais
Joseph Kabila Minkelo Kusini-Magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya
Kongo.
Taarifa hiyo ilitolewa na kituo cha habari cha Anadolu na kufahamisha kuwa ajali hiyo ilitokea Jumanne.
Eneo la Minkelı ni eneo ambalo linapatikana Kongo ya Kati karibu na jiji la Kinshasa.
Taarifa ziliztolewa na kituo cha habari cha Okapi zilifahamisha kuwa
ajali hiyo ilitokea wakati rais Kabila alikuwa akirejea mjini Kinshasa
baada ya kushiriki uzinduzi wa wa kituo cha kuchimba mafuta Jumatatu .
Barabara Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zipo katika hali mbaya licha
ya kuwa taifa hilo lina utajiri mkubwa wa mali ikiwa pamoja na madini.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni