Dr. Mwigulu aliyasema hayo February 13, 2018 wakati wa kampeni za udiwani katika kata ya Mitunduluni. Amewataka waache kutumia matatizo ya ndugu yao kama mitaji ya kisiasa baadala yake waje na hoja za maana za kusaidia katika maendeleo ya nchi.
“Fuatilieni sana wanaongea hayo ya Lissu mjue kama ni Wanasingida, mmoja nilimwambia Lissu unayemsema mimi ni ndugu yangu, wanakuja kuwaambia hivo kama chambo ya kisiasa, angekuwa mtu anayetokea Singida angepongeza Serikali kwa kazi ilizofanya baada ya Lissu kushambuliwa,” -Dr. Mwigulu
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni