n.k.
Ila kwa upande wa mzazi mwenzake Diamond Platnumz ambaye ni Zari the bosslady ambaye wengi walitegemea kuwa huenda Diamond Platnumz atakua na mzazi mwenzake huko Afrika Kusini lakini imekuwa ndivyo sivyo.
Kupitia snapchat account ya Zari amepost maneno haya “Happy Valentine’s ni siku ya kawaida kwangu, kwenye kusaka pesa”
Maneno haya ya Zari kupitia snapchat yake yametafsirika kuwa huenda Diamond Platnumz na Zari hawako sawa mpaka sasa kutokana na tetesi zinazoendelea kuhusu Wema Sepetu kuwa karibu na Diamond Platnumz
Wakati wapendanao Jumatano hii wakifurahia sikukuu yao ya Valentine’s Day kwa kupeana zawadi lukuki zenye ishara ya upendo, kwa upande wa Zari The Bosslady na Diamond siku hii imegeuka shubiri kwao.
Kupitia mtandao wa Instagram, Zari amethibirisha kuwa ameamua kumwagana na bosi huyo wa WCB ambaye tayari wamefanikiwa kupata watoto wawili kwenye mahusiano yao.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo aliyoiandika, Zari ameonyesha kuchoshwa na habari za kusalitiwa na mzazi mwenzake huyo kila kukicha.
Kupitia mtandao huo, Zari ameandika:
Understand that this is very difficult for me to do.Elewa kuwa hiki ni kitu kigumu sana kwangu kukifanya, kumekuwa na tetesi mbalimbali baadhi kati ya hizo zimekuwa na ushaidi ambao umekuwa ukisambaa katika vyombo vya habari kuhusiana na usaliti wa kimapenzi unaofanywa na Diamond, kwa huzuni nimeamua kuvunja uhusiano wangu wa kimapenzi na Diamond kwa heshima yangu”
There have been multiple rumors some with evidence floating around in ALL SORTS of media in regards to Diamond’s constant cheating and sadly I have decided to end my relationship with Diamond, as my RESPECT, INTEGRITY, DIGNITY & WELL BEING cannot be compromised.
We are separating as partners but not as parents.
This doesn’t reduce me as a self-made individual, and as a caring mother, and the boss lady you have all come to know.
I will continue to build as a mogul, i will inspire the world of women to become boss ladies too.
I will teach my four sons to always respect women, and teach my daughter what self-respect means.
Unlike many, I’ve been in the entertainment industry for 12 years, and through all my challenges I came out a victor because I am a winner, and so are all of you Zari supporters.
HAPPY VALENTINE’S
“Tunaachana kama wapenzi lakini sio kama wazazi hii hainipunguzii mimi kuwa mtu wa kujitegemea, mama mwenye kujali na Boss Lady, wote mnatakiwa kufahamu hilo nitaendelea kujijenga kama mwanamke mwenye ushawishi, nitawaamasisha wanawake wote kuwa maboss Ladies”
“Nitawafundisha watoto wangu wanne wa kiume kuwaheshimu wanawake na nitamfundisha binti yangu ni nini maana ya heshima, nimekuwa katika kiwanda cha burudani kwa miaka 12 sasa pamoja na changamoto zote hizo lakini nimefanikiwa kuwa mshindi kwa sababu mimi ni mshindi nawatakiwa wote siku njema ya wapendanao”
Kama utakuwa unakumbuka vizuri Zari na Diamond walianza kudaiwa kuwa hawapo pouwa katika mahusiano yao toka kuvuja kwa clip video iliyokuwa inadaiwa kuwa Diamond alimpeleka msichana mwingine kulala nae Madale lakini tukio la Diamond kunaswa na camera za mapaparazi akikumbatina na mpenzi wake wa zamani Wema Sepetu wakati wa utambulisho wa Mbosso kama msanii mpya wa WCB, kitendo kile kilidaiwa kuwa hakikumpendeza Zari.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni