
diwani wa kata ya Namawala jimbo la mlimba bwana
meuwawa kwa kukatwa mapanga usiku huu akiwa nyumbani kwake baada kukatika umeme ndipo wauwaji walipovamia na kukatisha uhai wake. Taarifa za awali zinasema kuwa usiku huu umeme ulikatika katika nyumba yake. Luena akatoka nje kutizama kama kuna shot maana nyumba za jirani zilikuwa na umeme. Alipozunguka nyuma ya nyumba yake kukagua umeme akalutana na kikosi cha watu wenye mapanga wakamkatakata hadi nakusababisha kifo chake/
mwana wa liganga blogspot inaendelea kufatilia tukio hii tutaeendelea kukujuza
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni