Msajili
wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amekiandikia barua
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akitaka kijieleza kwa nini
asikichukulie hatua kwa kufanya maandamano Februari 16, 2018.
Chadema
waliandamana Februari 16 mwaka huu wakishinikiza kupewa viapo vya
mawakala wao kabla ya uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kinondoni.



Hakuna maoni:
Chapisha Maoni