Jumatano, 7 Februari 2018

#ASFC Mpambano umekwisha, Toto Africans inarejea jijini Mwanza na mzigo wa mabao 7-0 kutoka kwa KMC ambayo imefanikiwa kutinga hatua ya 16 bora. Droo ya michuano hii kuelekea hatua ya 16 bora inafanyika kesho,

No automatic alt text available.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni