Jumatano, 7 Februari 2018

MSIMAMO WA LIGI VPL

MSIMAMO: Baada ya mechi saba za raundi ya 17, sita zikipigwa leo na moja ikipigwa jana, Simba imezidi kujikita kileleni huku Yanga wakiimiliki rasmi nafasi ya pili.
Singida United na Azam sasa wanakabana koo katika nafasi ya tatu na ya nne wakilingana pointi na mkiani ni Njombe Mji.

 No automatic alt text available.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni