Kama
unahisi Tanzania ni Nchi ya ajabu isiyowapa Uhuru Wananchi wake, basi
hebu chukua muda wako kusoma hizi baadhi ya Sheria za huko NORTH KOREA (Korea kaskazini). Na ukitaka kuuliwa kirahisi, basi we nenda kinyume na hizi - hawana muda wa kukubembeleza!
North Korea ( Korea Ya Kaskazini) pengine inaweza kuwa ndo nchi ambayo ina sheria kali katika mambo mengi ambayo yatakuacha mdomo wazi.
Ebu angalia mambo ya ajabu ya nchi ya Rais Kim Jong Un Ukipenda muite Mr Kiduku
.
1. INTERNATIONAL CALLS/Kuwasiliana na Watu wa nje ya Nchi - Ni marufuku kupiga simu kuwasiliana na Mtu alieko nje ya Nchi.
.
2. KUFANYA KAZI - Swala la Free time kule hakuna. Kila mtu atafanya kazi kwa Masaa angalau 17 kilasiku, hio ni lazima sio hiari.
.
3. KUNYOA - Hakuna uhuru wa kunyoa unavotaka wewe. Serikali imetoa staili 28 tu za kunyoa (Kwa jinsia zote mbili) - kwahio mtafuata hizo na si vinginevyo.
.
4. KUKAA MJINI - Serikali ndiyo itachagua nani akae mjini. Wanaoruhusiwa na Kim Jong-Un kukaa Mjini ni Wafanya Biashara maarufu wenye pesa zao na Watu wenye nguvu flani kwenye Jamii.
.
5. KUANGALIA TV - Sahau kuusu Movies. Utaangalia Channels 2 tu, Na kila kinachoendelea kwenye Channels hizo kinaendeshwa na Serikali. Ukikamatwa unaangalia kitu tofauti kwenye TV imekula kwako.

6. BIBLIA - Ni kosa la jinai
kumiliki Biblia. Wao wanaamini hizo ni Tamaduni wa Kizungu kwahio
utasababisha Watu wazifuate (Sijajua kuusu QURAN)
.
7. Bidhaa za Apple, Sony na Microsoft haziruhusiwi.
.
8. KWENDA/KULIA MSIBANI - Akifa Raisi Wananchi wote lazima kuhudhuria Msiba na lazima wote mlie. Alipokufa Baba yake Kim Jong Wananchi wote walilia. Korea kaskazini Raisi ni kama mungu.
.
9. KUMILIKI GARI - Hairuhusiwi kumiliki Gari, labda uwe Mfanya kazi wa Serikali au Mfanya Biashara mkubwa myenye Pesa. Magari ni Machache Barabarani kiasi kwamba ni ngumu kuskia eti kuna Ajali labda mtu Kagongwa.
.
10. KUPIGA PICHA - Ni marufuku kupiga Picha, uwe Mwananchi au Mtalii - ni marufuku. Anaeruhusiwa kumiliki Kamera labda Mpiga picha wa Kim Jong Un.
.
11. MAKOSA NA ADHABU - Akifanya kosa mtu mmoja kwenye Familia yenu mnaadhibiwa Familia nzima (Uwe mtoto au Mtu mzima) wote mtawajibika.
.
12. KUPIGA KURA - Mfumo wao ni kwamba Jina la mgombea ni Moja tu na lazima mumchague huyo. Ndio Majina ya Wagombea wengine yapo pale, lakini ni kama kivuli ili Nchi ionekane Fair.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni