Ijumaa, 26 Januari 2018

Wachezaji hawa 7 muhimu wa Yanga SC kuikosa Azam FC Jumamosi



 Kuelekea katika mchezo wao wakesho dhidi ya Azam FC utakao fanyika katika uwanja wa Chamazi Complex mabingwa hao wa tetezi watawakosa  wachezaji wao muhimu na tegemezi,

 “Kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Azam FC wachezaji saba wataukosa mchezo huo Yohana Mkomola,Pius Buswita,Thaban Kamusoko,Amissi Tambwe,Abdallah Shaibu,Donald Ngoma na Patongonyani wote ni wagonjwa pamoja na kuumwa Pius Buswita anatumikia adhabu ya kadi tatu za njano.”-Dismas Ten

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni