Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Hoja Kasumbakabo mwenye umri wa
miaka 25, mkazi wa Kijiji na Kata ya Minkoto, wilayani Chato
anasadikiwa kumuua mkewe Spensioza Petro kwa kumchoma na kitu chenye
ncha kali sehemu mbalimbali za mwili na kisha kumnyonga hadi kufa mtoto
wake Bryan Hoja mwenye umri wa miezi mitatu (3).
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni