Ijumaa, 26 Januari 2018

MALALAMIKO


Mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msigwa ameitaka polisi kufanya uchunguzi wake wa kina ili kuwabaini waliohusika na uvunjaji wa nyumba ya aliyekuwa diwani wa Kata ya Mwangata na kuchoma nyumba aliyokuwa akiishi Katibu wa UVCCM, Alphonce Muyinga badala ya kukamata wafuasi wa CHADEMA.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni