Ijumaa, 26 Januari 2018

kauli yaYanga SC hatma ya kibali cha kocha Lwandamina



 Klabu ya soka ya Yanga SC kupitia kwa msemaji wake, Dismas Ten amesema kuwa wameshalimaliza swala la kibali cha Kocha Mkuu wa timu hiyo, George Lwandamina na taratibu zote zimeshafuatwa hivyo mashabiki na wanachama waondoe shaka juu ya jambo hilo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni