China wanakaribia kuukaribisha mwaka mpya wao, hata hivyo watu wa Wilaya ya Xuyi mjini Huai’an mkoani Jiangsu, huanza maandalizi yao kwa kuvua samaki kwa wingi ili kukidhi mahitaji katika masoko ya Beijing, Shanghai na Zhejiang.
Cha kujiuliza inawezekanaje kuvuliwa kwa samaki wengi hivi huku Tanzania wavuvi wakitaabika hadi kutumia sumu na mabomu!? Kuna cha kujifunza hapa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni