Jumapili, 7 Januari 2018

Kivumbi cha michuano ya #MapinduziCup2018 kuendelea tena leo

Kivumbi cha michuano ya #MapinduziCup2018 kuendelea tena leo kwa mechi moja kupigwa katika uwanja wa Amaan visiwani Zanzibar.

Je leo Zimamoto wataweza kuwazima Yanga? ni gemu itakayochezwa muda mzuri saa 2:15 usiku kupitia chaneli yenye bandika bandua za michezo


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni