Klabu ya Manchester United kwa mara ya kwanza inatarajia kumtumia
mshambuliaji wake raia wa chile, Alexis Sanchez katika michuano ya FA
Cup pale itakapo kuwa ugenini dhidi ya Yovil katika dimba la Huish Park.
Historia inaonyesha kuwa United mara kadhaa inapokutana na Yovil imekuwa ikifanya vizuri .
Mchezo mwingine wa michuano hiyo ni unaotarajiwa kupigwa hii leo ni
timu ya Shifeld Wednesday itakuwa nyumbani kuikabili Reading huku
Liverpool watakuwa wakicheza dhidi ya West Bromwich hapo kesho siku ya
Jumamosi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni