Jumamosi, 20 Januari 2018

MSIMAMO: Hivi ndivyo msimamo wa #VPL unavyoonekana baada ya mechi mbili za leo. Stand United baada ya kumfunga Mbao wanatoka mkiani na kupanda mpaka nafasi ya 11 huku Mbao wakisalia nafasi ya 7. Mtibwa wamebaki nafasi ya 3 baada ya sare na Njombe Mji walioshuka nafasi moja.

No automatic alt text available.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni