Jumamosi, 20 Januari 2018

Maajabu haya hapa ni Njombe: Mwamba Wenye Ramani ya Afrika



 Mwamba huu wenye ramani ya bara la Afrika unaitwa Lwivala, upo katika pori la hifadhi ya msitu Lwivala kijiji cha Igodivaha Wilaya ya Njombe, inaweza isiwe rahisi kuamini lakini huo ndio ukweli wenyewe.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni