Alhamisi, 25 Januari 2018

MSIMAMO: Baada ya Ndanda kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya wenyeji Stand United mchezo wa kwanza wa raundi ya 15 #VPL, timu hiyo kutoka Mtwara imepanda hadi nafasi ya saba kutoka nafasi ya 13 ikifikisha pointi 16 wakati Stand United ikisalia nafasi ya 13 na pointi 13.

No automatic alt text available.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni