Alhamisi, 25 Januari 2018

#VPL Mpira umekwisha katika dimba la Kambarage, Ndanda FC wanaondoka na ushindi wa bao 1-0 ugenini licha ya Stand kuutawala zaidi mchezo. Kesho ni Ruvu Shooting vs Mbao FC.

Image may contain: text

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni