Jumatatu, 8 Januari 2018

Yanga wanapoteza nafasi ya wazi kwenye dakika za 'lala salama'. Singida mpaka sasa wanaongoza kundi lao na endapo mchezo utaisha hivi watakutana na Azam. Je, Yanga wataikwepa Azam kwa kupata ushindi? Tukutane kipindi cha pili

Image may contain: text

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni